![]() |
Rais wa Nzanzibar Dr Shein akiwasili katika sherehe za mapinduzi zilizofanyika leo 12/01/18 |
![]() |
Rais wa Zanzibar akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za mapinduzi leo 12/01/2018 |
![]() |
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za mapinduzi |
![]() |
Rais Magufuli , Mama Samia pamoja na waziri mkuu Kassim Majaliwa nao ni baadhi ya viongozi walio hudhuria sherehe hizo |