
AGIZO la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lagonga mwamba baada ya baada ya ombaomba hao kuonekana barabarani wakiomba kama ilivyokuwa kawaid yao.
Ikiwa Mkuu wa Mkoa huyo alitoa agizo kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwaondoa Ombaomba wote wanaoomba barabarani ifikapo Aprili 18 mwaka huu.

akiomba msaada kwa wasamalia wema katika barabara ya Bibititi jijini Dar es Salaam.
