Tuesday, April 12, 2016

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyopo Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji kazi unaofanywa Hospitalini hapo.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kulia) wakiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE NAMNA YA KUENDESHA BIASHARA YAKO HAPA KWA HUYU NDUGU.

KAMA UNA NDOTO YA  # KUJIJIRI  AU KUFANYA  # BIASHARA  USIOGOPE ILA JIFUNZE KIDOGO HAPA! Naitwa Andrea. Na nakutana na watu we...